Hera (Kigiriki Ἥρα, Hēra, au kwa Kiionia na Kihomeri: Ἥρη, Hērē) alikuwa dada na mke wa mfalme wa miungu Zeu na mungu wa kike wa ndoa na wanawake katika mitholojia ya Kigiriki. Analingana na Juno katika dini ya Roma ya Kale.

Hera
Malkia wa miungu
Mungu wa Kike wa Ndoa na Wanawake
MakaoMlima Olimpos
AlamaKomamanga, Tausi, Nyoya na Taji
MwenziZeu
WazaziKrono na Rea
NduguHestia, Hade, Zeu, Poseidoni, Demetra, Khironi
WatotoAres, Enyo, Heba, Eileithia, Hefaisto, Eris
Ulinganifu wa KirumiJuno
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.