Hadrawi (kwa Kiarabu: محمد ابراهيم وارسام هدراوى, Mohamed Ibrahim Warsame, Burao, 1943 - 16 Agosti 2022) ni mshairi, mwandishi wa nyimbo na mwanaharakati nchini Somalia.