Hafiz (maana)
Hafiz ( حافظ) ni neno kutoka lugha ya Kiarabu na maana yake inaenda sambamba na neno la Kiswahili "hifadhi"; hafiz ni mtu anayehifadhi, hasa maneno ya Qurani. Inaweza kuandikwa pia hafez, hafes au hafis kwa herufi za Kilatini.
Katika utamaduni wa Uislamu linamtaja
- Hafiz (mtu anayeshika Qurano yote moyoni)
Limekuwa pia jina linalotumiwa mara nyingi kati ya Waislamu kama vile
- al-Hafiz (1130-1149), mfalme wa nasaba ya Fatimiya huko Afrika Kaskazini
- Hafez (manmo 1320 hadi 1390), kifupi ch kawaida kwa mshairi Mwajemi Shams al-Din Muhammad Hafez-e Shirazi
- Hafez al-Assad (1930-2000), rais wa Syria 1971 hadi 2000