Hafsa Kazinja ni mwanamuziki wa muziki aina ya Zouk kutoka nchini Tanzania.

Hafsa kazinja
Nchi Tanzania
Kazi yake Mwanamuziki

Anafamika zaidi kwa kibao chake mashuhuri cha Presha, vilevile na Mashallah. Hasfa anatoka katika kikundi cha THT (yaani Tanzania House of Talent) cha mjini Dar es Salaam, Tanzania.[1]

Marejeo hariri

  1. Hafsa Kazinja au Presha?. Jalada kutoka ya awali juu ya 2014-02-24. Iliwekwa mnamo 2008-09-15.
  Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hafsa Kazinja kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.