Haitam Abaida
Haitam Abaida El Achhab (alizaliwa 1 Juni 2002), ni mwanasoka anayechezea klabu ya iliyopo nchini Hispania iitwayo Málaga CF. Amebobea zaidi akicheza kama mshambuliaji wa kushoto, anaweza pia kucheza kama mlinzi wa kulia. Alizaliwa Hispania, aliiwakilisha Moroko katika ngazi ya kimataifa ya vijana.
Maisha ngazi ya klabu
haririAlizaliwa Polinya, mjini Barcelona, Wazazi wake ni wa nchi mbili tofauti mmoja akitokea Catalonia nchini Hispania huku mwingine akitokea Moroko, Abaida alijiunga na La Masia ya FC Barcelona mwaka wa 2012, kutoka Fundació Calella. [1] Mnamo Agosti 2017, baada ya kutokucheza kwa muda kwa sababu ya adhabu ya FIFA kwa Barcelona, alijiunga na Málaga CF. [2]
Marejeo
hariri- ↑ "Haitam Abaida nunca perdió la sonrisa ni su olfato goleador" [Haitam Abaida never lost his smile nor his goalscoring sense] (kwa Kihispania). Mundo Deportivo. 22 Februari 2017. Iliwekwa mnamo 6 Januari 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "El Málaga insiste en la vía marroquí para la Academia" [Málaga insist in the Moroccan way for the Academy] (kwa Kihispania). El Desmarque. 1 Agosti 2017. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-01-08. Iliwekwa mnamo 6 Januari 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)