1 Juni

tarehe
Mei - Juni - Jul
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori

Tarehe 1 Juni ni siku ya 152 ya mwaka (ya 153 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 213.

MatukioEdit

WaliozaliwaEdit

WaliofarikiEdit

SikukuuEdit

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Yustino mfiadini, Karitoni, Karito na wenzao, Amoni na wenzake, Iskirioni, Prokolo wa Bologna, Fortunati wa Montefalco, Kaprasi wa Lerins, Simeoni wa Siracusa, Eneko wa Onya, Yosefu Tuc, Anibale Maria di Francia n.k.

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 1 Juni kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.