Haja ni kuwa na hitaji ambayo ni muhimu na inatakiwa kutekelezwa au kutakiwa kwa muda mfupi au moja kwa moja.

Kuna haja za mwili na nyingine za nafsi, kwa mfano kupenda na kupendwa.