Muda ni kipindi ambacho mtu aidha alifanya, anafanya au anatarajia kufanya jambo fulani.

Katika maisha ya kila siku mwanadamu hutegemea sana muda ili kufanikisha malengo yake.

Matumizi ya mudaEdit

Muda hutumika na watu mbalimbali kwa mambo mbalimbali kama itakavyoelezwa hapa chini:

  1. mwanafunzi hutumia muda wake kwa ajili ya kujisomea.
  2. mfanyakazi hutumia muda wake kwa ajili ya kujiendeleza kimaisha.

Lakini endapo watautumia muda huo vibaya, hakika hawataweza kufikia malengo waliyojiwekea.