No Filter ni lebo ya reli inayotumiwa kwenye mitandao ya kijamii kumaanisha kuwa hakuna picha ambayo imechunjwa. Inatumika sana kwenye Instagram.[1][2][3]Kulingana na utafiti wa Spredfast mwaka wa 2018, 11% ya machapisho ya Instagram yenye No Filter yalitumia kichujio.[4]

Marejeo hariri

  1. https://en.wikipedia.org/wiki/NoFilter#cite_note-1
  2. https://en.wikipedia.org/wiki/NoFilter#cite_note-2
  3. https://en.wikipedia.org/wiki/NoFilter#cite_note-3
  4. https://en.wikipedia.org/wiki/NoFilter#cite_note-4