Haldan Hartline
Haldan Keffer Hartline (22 Desemba 1903 – 17 Machi 1983) alikuwa mwanafiziolojia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza neva za macho. Mwaka wa 1967, pamoja na Ragnar Granit na George Wald alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Haldan Hartline kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |