Halldór Laxness

(Elekezwa kutoka Halldor Laxness)

Halldór Laxness (23 Aprili 19028 Februari 1998) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Iceland. Hasa aliandika riwaya. Mwaka wa 1955 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Halldor Laxness
Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Halldór Laxness kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.