Halmstad
Halmstad ni mji nchini Uswidi. Kuna wakazi 55,688 (mwaka 2005). Mji ulianzishwa 1307.


Jiografia Edit
Eneo lake ni 33.01 km². Iko kando ya Kattegat.
-
Halmstads BK, Mpira wa miguu
-
Boma la Halmstad na jahazi
-
Kituo cha gari
Viungo vya nje Edit
Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Halmstad kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |