Hameln
Hameln ni mji wa Saksonia Chini nchini Ujerumani ya Kaskazini. Idadi ya wakazi wake ni takriban 57.906.
Hameln | |
Nchi | Ujerumani |
---|---|
Jimbo | Saksonia Chini |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 57.906 |
Tovuti: http://www.hameln.de/ |
Tazama pia
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Hameln kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |