Majimbo ya Ujerumani

Majimbo ya Ujerumani ni sehemu zinazounda Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani.

Tangu mwaka 1990 ambapo maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kijerumani (1949 hadi 1990, ilijulikana pia kama Ujerumani wa Mashariki) yalijiunga na shirikisho kuna majimbo 16.

Majimbo hujitawala katika mambo mbalimbali kulingana na katiba ya Ujerumani.

Kila jimbo lina katiba yake, serikali, bunge na mahakama kulingana na mgawanyo wa madaraka.

Mabunge ya majimbo huchagua wawakilishi katika Bundesrat (Halmashauri ya Jamhuri ya Shirikisho) ambayo ni kitengo cha bunge la kitaifa pamoja na Bundestag.

Majimbo hariri

Namba Jimbo Kijerumani IPA Kifupisho Mji mkuu Ramani
1.   Baden-Württemberg Baden-Württemberg   Baden-Württemberg (info) BW Stuttgart
 BerlinBremenBremenHamburgSaksonia ChiniBavariaSaarlandSchleswig-HolsteinSchleswig-HolsteinBrandenburgSaksoniaThuringiaSaksonia-AnhaltMecklenburg-Pomerini MagharibiBaden-WürttembergHesseRhine Kaskazini-WestfaliaRhine-Palatino
Karte
2.   Bavaria Bayern   Bayern (info) BY München
3.   Berlin Berlin   Berlin (info) BE Berlin
4.   Brandenburg Brandenburg   Brandenburg (info) BB Potsdam
5.   Bremen Bremen   Bremen (info) HB Bremen
6.   Hamburg Hamburg HH Hamburg
7.   Hesse Hessen HE Wiesbaden
8.   Mecklenburg-Pomerini Magharibi Mecklenburg-Vorpommern   Mecklenburg-Vorpommern (info) MV Schwerin
9.   Saksonia Chini Niedersachsen NI Hannover
10.   Rhine Kaskazini-Westfalia Nordrhein-Westfalen   Nordrhein-Westfalen (info) NW Düsseldorf
11.   Rhine-Palatino Rheinland-Pfalz RP Mainz
12.   Saar Saarland SL Saarbrücken
13.   Saksonia Sachsen SN Dresden
14.   Saksonia-Anhalt Sachsen-Anhalt SA Magdeburg
15.   Schleswig-Holstein Schleswig-Holstein   Schleswig-Holstein (info) SH Kiel
16.   Thuringia Thüringen   Thüringen (info) TH Erfurt

Angalia pia hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


 
Majimbo ya Ujerumani
 
Baden-WürttembergBavaria (Bayern)BerlinBrandenburgBremenHamburgHesse (Hessen)Mecklenburg-Pomerini Magharibi (Mecklenburg-Vorpommern)Saksonia Chini (Niedersachsen)Rhine Kaskazini-Westfalia (Nordrhein-Westfalen)Rhine-Palatino (Rheinland-Pfalz)Saar (Saarland)Saksonia (Sachsen)Saksonia-Anhalt (Sachsen-Anhalt)Schleswig-HolsteinThuringia (Thüringen)
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Majimbo ya Ujerumani kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.