Hamisi Andrea Kigwangalla

Hamisi Andrea Kigwangalla (amezaliwa 7 Agosti 1975) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Nzega Vijijini kwa miaka 20152020. [1]

MarejeoEdit

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Juni 2017