Hammour Ziada (kwa Kiarabu: حمور زيادة; Khartoum, 1979) ni mwandishi na mwandishi wa habari kutoka Sudan.

Anaishi Cairo, Misri. [1]

Vitabu hariri

  • سيرة أم درمانية، مجموعة قصصية (2008)
  • الكونج (2010)
  • النوم عند قدمي الجبل (2014)
  • شوق الدرويش (2014)

Tuzo hariri

Marejeo hariri

  1. http://commapress.co.uk/authors/hammour-ziada
  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hammour Ziada kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.