Hans van der Pluijm

Hans Van der Pluijm (amezaliwa tarehe 4 Machi, 1949 mjini Amsterdam nchini Uholanzi) ni meneja wa klabu ya Yanga Sc inayoshiriki Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara.