Harakati za utetezi wa wanawake
Mfumo wa kisiasa wa harakati za wanawake
Harakati za utetezi wa wanawake (pia zinajulikana kama harakati za wanawake au utetezi wa wanawake, ni mfululizo wa harakati za kijamii na kampeni za kisiasa na uhuru ili kuleta mabadiliko katika masuala ya wanawake yaliyosababishwa na kutokuwa na usawa kati ya wanaume na wanawake.[1] Masuala hayo ni kama uhuru wa wanawake/harakati za uhuru wa wanawake, haki za uzazi, ukatili wa majumbani, likizo ya uzazi, usawa katika malipo, haki ya kupiga kura, udhalilishaji wa kingono na ukatili wa kingono. Harakati hizo zimeendelea kuanzia miaka ya 1800, na zikasambaa kwenye nchi na jamii mbalimbali. Vipaumbele vilikuwa kinyume na ukeketaji wa wanawake kwenye nchi moja, na pia kutokuwa na usawa kwenye nchi nyingine.
Marejeo
hariri- ↑ Young, Stacey (2 Januari 2014). Changing the Wor(l)d. doi:10.4324/9781315022079. ISBN 9781136664076.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |