HarmonyOS
HarmonyOS (HMOS) (Kichina: 鸿蒙; pinyin: Hóngméng) ni mfumo wa uendeshaji unaosambazwa uliotengenezwa na Huawei kwa ajili ya simu janja, kompyuta , runinga janja, saa mahiri, kompyuta za kibinafsi na vifaa vingine mahiri[1].
Tanbihi
hariri- ↑ "OSDI '24 - Microkernel Goes General: Performance and Compatibility in the HongMeng Production..." YouTube. USENIX. 12 Septemba 2024. Iliwekwa mnamo 26 Oktoba 2024.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |