Harry Werner Storz
Harry Werner Storz (3 Machi 1904 – 13 Agosti 1982) alikuwa mwanariadha wa Ujerumani ambaye alishiriki katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto ya mwaka 1928. Alishinda medali ya fedha katika mbio za mita 4 × 400 zakupokezana na kumaliza wa tano katika mashindano ya mtu binafsi ya mita 400.[1]
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Harry Werner Storz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |