Haruna Niyonzima (amezaliwa mjini Gisenyi, 5 Februari 1990), ni mchezaji mpira wa miguu wa kimataifa kutoka nchini Rwanda ambaye kwa sasa anacheza kama kiungo katika klabu ya Yanga Sc ya nchini Tanzania.

Haruna Niyonzima
Maelezo binafsi
Tarehe ya kuzaliwa 2 Mei 1990 (1990-05-02) (umri 34)
Mahala pa kuzaliwa    Kigali, Rwanda
Nafasi anayochezea kiungo mchezeshaji
Maelezo ya klabu
Klabu ya sasa Yanga Sc
Namba 8
Timu ya taifa
Rwanda

* Magoli alioshinda

Niyonzima amepata kuchezea vilabu mbalimbali vyaa Rwanda na Tanzania. Vilabu hivo ni pamoja na Etincelles, Rayon Sports, APR na Young Africans.[1]

Alianza kucheza rasmi katika timu ya taifa ya Rwanda mnamo mwaka 2007,[1] na ameonekana katika mechi za kufuz

u Kombe la Dunia la FIFA.[2]

Marejeo

hariri
  1. 1.0 1.1 Haruna Niyonzima at National-Football-Teams.com
  2. Haruna Niyonzima FIFA competition record
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Haruna Niyonzima kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.