Haruna Niyonzima
Haruna Niyonzima (amezaliwa mjini Gisenyi, 5 Februari 1990), ni mchezaji mpira wa miguu wa kimataifa kutoka nchini Rwanda ambaye kwa sasa anacheza kama kiungo katika klabu ya Yanga Sc ya nchini Tanzania.
Haruna Niyonzima | ||
Maelezo binafsi | ||
---|---|---|
Tarehe ya kuzaliwa | 2 Mei 1990 | |
Mahala pa kuzaliwa | Kigali, Rwanda | |
Nafasi anayochezea | kiungo mchezeshaji | |
Maelezo ya klabu | ||
Klabu ya sasa | Yanga Sc | |
Namba | 8 | |
Timu ya taifa | ||
Rwanda | ||
* Magoli alioshinda |
Kazi
haririNiyonzima amepata kuchezea vilabu mbalimbali vyaa Rwanda na Tanzania. Vilabu hivo ni pamoja na Etincelles, Rayon Sports, APR na Young Africans.[1]
Alianza kucheza rasmi katika timu ya taifa ya Rwanda mnamo mwaka 2007,[1] na ameonekana katika mechi za kufuz
u Kombe la Dunia la FIFA.[2]
Marejeo
hariri- ↑ 1.0 1.1 Haruna Niyonzima at National-Football-Teams.com
- ↑ Haruna Niyonzima FIFA competition record
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Haruna Niyonzima kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |