Hasifah Nassuna

Mchezaj wa mpira Uganda


Hasifah Nassuna (amezaliwa 16 Februari 1998)[1] ni mchezaji mpira wa Uganda ambaye anacheza Kama kiungo mshambuliaji[2] UCU Lady Cardinals FC na timu ya taifa wanawake Uganda.

Hasifah Nassuna

Hasifah Nassuna
Amezaliwa 16 Februari 1998
Mityana, Uganda
Nchi Uganda
Kazi yake Mchezaji mpira

Maisha ya awali hariri

Nassuna alizaliwa Mityana na kukulia Uganda.Mama yake ni Annet Nakimbugwe.

Kazi ya kimataifa hariri

Nassuna aliichezea Uganda katika kiwango cha juu wakati wa 2021 COSAFA Women's Championship.

Marejeo hariri

  1. "Hasifah Nassuna's football journey and biggest motivation"
  2. "HASIFAH NASSUNA"
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hasifah Nassuna kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.