Hassan Selemani Kaunje

Hassan Selemani Kaunje (amezaliwa 10 Aprili 1982) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Lindi Mjini kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo hariri

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania Archived 25 Januari 2020 at the Wayback Machine., iliangaliwa Juni 2017