Hassan Veneziano (alifariki mwaka 1587) alikuwa kaimu mtawala wa Algiers kuanzia mwaka 1577 hadi 1580, tena kuanzia 1582 hadi 1587.[1] Mrithi wake alikuwa Djafer Pasha.

Alikuwa mtumwa Mvenezia, alihudumia Uludj Ali alipokuwa gavana wa Algiers na Capitan Pasha huko Konstantinopoli. Baadaye, aliwekwa na Ali kuwa kiongozi wa utawala wa Algiers.

Marejeo

hariri
  1. Henri-Delmas Grammont, Histoire d'Alger sous la domination turque (1515-1830), Ed. Bouchene, Paris, 2002, (ISBN 978-2912946539).
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hassan Veneziano kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.