Hatari (kutoka neno la Kiarabu; kwa Kiingereza: danger) ni tukio ambalo linaweza likasababisha maafa, kinyume cha usalama.

Ni vema kujua na kujulisha hali ya hatari ili kuiepa: "Tahadhari kabla ya hatari".