Hatari! ni filamu ya Kimarekani ya vichekesho na kimapenzi iliyoongozwa na Howard Hawks mnamo mwaka 1962 na huonyesha kundi la wawindaji wataalamu ndani ya Afrika. [1]. Filamu hiyo ilitengenezwa kaskazini mwa Tanganyika (kwa sasa Tanzania) yenye mwonekano na mandhari ya Mlima Meru.

Wahusika hariri

Wahusika wakuu
Wahusika wengine

Marejeo hariri

  1. McCarthy, Todd. Howard Hawks: the grey fox of Hollywood, New York, Grove Press, 1997, pg 572,
  Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hatari! kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.