Helga Königsdorf
Helga Königsdorf (13 Julai 1938 – 4 Mei 2014) alikuwa mtaalamu wa takwimu na mwandishi kutoka Ujerumani ya Mashariki.
Anajulikana kwa kuwa na mafanikio katika taaluma mbili tofauti sayansi na fasihi.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "GDR Bulletin", Michigan State University New Prairie Press, 1998.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Helga Königsdorf kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |