Henderson, Nevada

(Elekezwa kutoka Henderson)

Henderson, Nevada ni mji wa Marekani katika jimbo la Nevada, takribani maili 16 kusini-mashariki mwa Las Vegas.

Muonekano wa mji wa Henderson

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka 2010, mji una wakazi wapatao 258,000 hivi. Ni jiji la pili kwa ukubwa huko Nevada, baada ya Las Vegas.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Henderson, Nevada kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.