Henny Eman
Jan Hendrik Albert Eman (20 Machi 1948 – 6 Januari 2025) alikuwa mwanasiasa na Waziri Mkuu wa kwanza wa Aruba kuanzia tarehe 1 Januari 1986 hadi 9 Februari 1989 na tena kuanzia tarehe 29 Julai 1994 hadi 30 Oktoba 2001. [1]
Marejeo
hariri- ↑ "Eerste premier van Aruba Henny Eman (76) overleden". ND (kwa Kiholanzi). 2025-01-06. Iliwekwa mnamo 2025-01-06.
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |