Henri Matisse

Henri Matisse (31 Desemba 18693 Novemba 1954) alikuwa msanii kutoka nchini Ufaransa. Alifanya kazi za kuchonga na kuchapisha lakini amejulikana hasa kama mchoraji.

Henri Matisse (1933)

Alipendwa kwa namna jinsi alivyotumia rangi katika picha zake.

Mifano ya picha zakeEdit

Viungo vya NjeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Henri Matisse kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.