Henry Way Kendall (9 Desemba 192615 Februari 1999) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza atomu na mfumo wake. Mwaka wa 1990, pamoja na Jerome Friedman na Richard Taylor alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Henry Kendall

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Henry Kendall kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.