Herman Van Rompuy (Pronunciation-Herman_Van_Rompuy.ogg ˈɦɛɾmɑn vɑn ˈɾɔmpœy̆ (info); amezaliwa 31 Oktoba 1947) ni mwanasiasa kutoka nchi ya Ubelgiji. Alikuwa Waziri Mkuu wa Ubelgiji kuanzia 30 Desemba 2008 hadi 25 Novemba 2009. Tangu tarehe 1 Desemba 2009, Van Rompuy ni Rais wa Baraza la Ulaya.

Herman Van Rompuy

Angalia Pia hariri

  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Herman Van Rompuy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.