Hermosillo, Sonora
Hermosillo ni mji mkuu na mji mkubwa katika jimbo la Sonora. Kuna wakazi 641,791, pamoja na mitaa ya jirani rundiko la mji lina wakazi 701,838. Mji upo m 210 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Jiji la Hermosillo | |
Nchi | Mexiko |
---|---|
Jimbo | Sonora |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 1,400,891 |
Tovuti: www.hermosillo.gob.mx |
Jina la zamani lilikuwa Santísima Trinidad del Pitic (Kiswahili: Utatu Mtakatifu la Pitic). Mji ulianzishwa na Juan Bautista Escalante mwaka 1700.
Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Hermosillo, Sonora kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |