Sonora ni moja kati ya majimbo 31 ya Mexiko upande wa kaskazini-magharibi ya nchi. Iko pwani la Ghuba ya California (au Bahari ya Cortez). Mji mkuu na mji mkubwa ni Hermosillo.

Bendera ya Sonora
Mahali pa Sonora katika Mexiko

Jimbo lina wakazi wapatao 2,394,861 (2005) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 182,052.

Imepakana na Marekani (Arizona na New Mexico), Chihuahua, Sinaloa na Baja California.

Gavana wa jimbo ni Eduardo Bours Castelo.

Lugha rasmi ni Kihispania.

Miji Mikubwa

hariri
  1. Hermosillo (641,791)
  2. Ciudad Obregón (265,000)
  3. Nogales (159.787)
  4. San Luis Río Colorado (145,006)
  5. Navojoa (140.650)
 
Eduardo Bours Castelo, gavana wa Sonora


Viungo vya Nje

hariri



  Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Sonora (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.