Hesiodo
Hesiodo (gir. Ἡσίοδος Hesiodos) alikuwa mshairi mashuhuri wa Ugiriki ya Kale. Pamoja na kazi za Homeri mashairi yake ni misingi wa elimu yetu juu ya vyanzo vya utamaduni wa Ugiriki.
Hesiodo aliishi katika Bootia, Ugiriki ya kati alipokuwa mfugaji wa ng'ombe na mkulima. Mamake aliitwa Pykimede alikuwa na kaka mmoja Perses.
Kati ya mashairi yake yaliyohifadhiwa ni
- Kazi na siku (gir. Ἔργα καὶ ἡμέραι erga kaì hemerai) anapoeleza mengi kuhusu kazi ya wakulima wa siku zake, pamoja na kusimulia visasili vya Prometheus na Pandora.
- Theogonia (gir. Θεογονία theogonia; theo= mungu na gonia=kuzaliwa) au shairi linalosimulia jinsi gani miungu ilitokea tangu mwanzo wa dunia.
Viungo vya Nje
haririWikisource has original text related to this article: |
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Works by Hesiod katika Project Gutenberg
- Web texts taken from Hesiod, the Homeric Hymns and Homerica, edited and translated by Hugh G. Evelyn-White, published as Loeb Classical Library #57, 1914, ISBN 0-674-99063-3:
- Scanned text at the Internet Archive, in PDF and DjVu format
- Perseus Classics Collection: Greek and Roman Materials: Text: Hesiod Greek texts and English translations for Works and Days, Theogony, and Shield of Heracles with additional notes and cross links.
- Versions of the electronic edition of Evelyn-White's English translation edited by Douglas B. Killings, June 1995:
- Project Gutenberg plain text Ilihifadhiwa 13 Oktoba 2008 kwenye Wayback Machine..
- Berkeley Digital Library SunSITE: The Online Medieval and Classical Library: Hesiod Ilihifadhiwa 5 Juni 2004 kwenye Wayback Machine.
- Sacred Texts: Classics: The Works of Hesiod (Theogony and Works and Days only)
- Hesiod and the Arcadian theme in the paintings Shepherds of Arcadia – Et in Arcadia Ego Ilihifadhiwa 26 Oktoba 2000 kwenye Wayback Machine.