Hewlett-Packard
Kampuni ya teknolojia ya habari kutoka Marekani (1939-2015)
Hewlett Packard (HP) ni kampuni ya teknolojia ya kompyuta iliyoanzishwa na Bill Hewlett na Dave Packard mwaka 1939, makao yake yakiwa huko Palo Alto, California.
Wanajulikana sana kwa kutengeneza kompyuta na vifaa vya kompyuta kama vile printa, vifaa vya kuchunguzia na kamera za kidijiti.
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hewlett-Packard kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |