Hezekiah Ndahani Chibulunje
Hezekiah Ndahani Chibulunje (amezaliwa tar. 15 Machi 1946) ni mbunge wa jimbo la Chilonwa katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Tazama piaEdit
MarejeoEdit
- ↑ Mengi kuhusu Hezekiah Ndahani Chibulunje (10 Julai 2006). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-19. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.
Makala hiyo kuhusu wanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |