Hifadhi ya Ibanda-Kyerwa

Hifadhi ya Taifa ya Tanzania

Hifadhi ya Ibanda-Kyerwa ipo katika mkoa wa Kagera, kaskazini magharibi mwa Tanzania[1].

Hifadhi ya Ibanda-Kyerwa ilianzishwa mnamo mwaka 2019 na ina ukubwa wa kilometa za mraba 200.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. "News |TANZANIA NATIONAL PARKS". www.tanzaniaparks.go.tz. Iliwekwa mnamo 2020-11-11.