Hifadhi ya Mazingira ya Fernkloof

Hifadhi ya Mazingira ya Fernkloof ni hifadhi ya asili katika Milima ya Kleinrivier juu ya Hermanus, Mkoa wa Rasi ya Magharibi, Afrika Kusini. Ni hekta 1,800 (mita za mraba 6.9)[1] katika eneo na mwinuko wake tokea usawa wa bahari hadi mita 842 (2,762 futi)[2]. Hifadhi hiyo ina zaidi ya aina 1300 za mimea.

Fernkloof

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.