Hifadhi ya Mazingira ya Klapperkop

Hifadhi ya Mazingira ya Klapperkop ni hifadhi ya asili iliyo na ukubwa wa takriban hekta 460 huko Pretoria, Gauteng, ambayo ilianzishwa mnamo 1898. Inasimamiwa na idara ya uhifadhi wa mazingira.

Shughuli hariri

Imekuwa maarufu kwa kutembelewa na watazamaji mbalimbali katika hifadhi hiyo. Kutembelea hifadhi kwa kujitegemea kunaruhusiwa. [1]

Picha katika hifadhi hariri

Marejeo hariri

  1. "Klapperkop Nature Reserve". City of Tshwane. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-06-06. Iliwekwa mnamo 20 July 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)