Hifadhi ya Taifa ya Cameia

Hifadhi ya Taifa katika jimbo la Moxico, Angola

Hifadhi ya Taifa ya Cameia, ni mbuga ya taifa katika mkoa wa Moxico nchini Angola, iliyoko mita 1100 juu ya usawa wa bahari. Ina eneo la kilomita za mraba 14.450. [1]

Historia hariri

Eneo ambalo sasa linajulikana kama Hifadhi ya taifa ya Cameia ilianzishwa kama mbuga ya wanyama mnamo 1938 na kama hifadhi ya taifa mnamo 1957. Wanyamapori katika hifadhi hiyo wamekaribia kuangamizwa kabisa baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe kusababisha uharibifu mkubwa katika hifadhi hiyo, ikiwa ni pamoja na ujangili usio na udhibiti na uharibifu wa miundombinu. Kuna ukosefu mkubwa wa wafanyikazi, rasilimali na msaada kwa mbuga.

Viungo vya nje hariri

Marejeo hariri

  1. "Cameia National park | Drupal". www.angolainvivo.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-06-25. Iliwekwa mnamo 2020-09-21. 
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Cameia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.