Hifadhi ya Taifa ya Fazao Malfakassa
Hifadhi ya Taifa ya Fazao Malfakassa, ndiyo mbuga ya taifa kubwa zaidi kati ya mbuga tatu za nchini Togo, [1] [2] nyingine zikiwa ni kama Kéran na Fosse aux Lions .
Iko kati ya Mkoa wa Kara na Mkoa wa Kati katika ardhi oevu yenye vilima, na ni sehemu ya mpaka na Ghana . Fondation Franz Weber iliidhinishwa na serikali kusimamia hifadhi hiyo kwa miaka 25, kuanzia mwaka 1990 na kumalizika mwaka 2015. [3] [4]
Marejeo
hariri- ↑ Planet, Lonely; Ham, Anthony; Carillet, Jean-Bernard; Clammer, Paul; Filou, Emilie; Masters, Tom; Mutic, Anja; Sieg, Caroline; Thomas, Kate (2013-08-01). Lonely Planet West Africa (kwa Kiingereza). Lonely Planet. ISBN 9781743217825.
- ↑ Stuart, S. N.; Adams, Richard J.; Jenkins, Martin (1990). Biodiversity in Sub-Saharan Africa and Its Islands: Conservation, Management, and Sustainable Use. IUCN. uk. 215. ISBN 9782831700212.
- ↑ "Fazao Malfakassa National Park - Togo". Fondation Franz Weber. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-10-23. Iliwekwa mnamo 2022-06-14.
- ↑ "Strengthening the conservation role of Togo's national System of Protected Areas (PA)" (PDF). United Nations Development Programme.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |