Hifadhi ya Taifa ya Lobéké

Hifadhi ya Taifa ya Lobéké, ni mbuga ya taifa iliyopo kusini mashariki mwa Kamerun ndani ya Mkoa wa Mashariki . [1]

Picha ya Mwonekano wa hifadhi ya Taifa ya Lobéké
Picha ya Mwonekano wa hifadhi ya Taifa ya Lobéké

Ipo katika Bonde la Kongo, inapakana upande wa mashariki na Mto Sangha ambao unatumika kama mpaka wa kimataifa wa Kamerun na Jamhuri ya Afrika ya Kati na Jamhuri ya Kongo . [2]

Pia ipo karibu na hifadhi zingine mbili huko CAR na Kongo. Upande wa kaskazini-magharibi kuna Mbuga ya taifa ya Boumba Bek, mbuga nyingine za taifa katika Mkoa wa Mashariki wa Kamerun. [3]

Marejeo

hariri
  1. Curran, Bryan K. "Strategic Planning For Conservation Management Options In The Lobeke Region, Southeastern Cameroon". World Wildlife Fund. Iliwekwa mnamo 18 Septemba 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Important Bird Area factsheet: Lobéké National Park, Cameroon". BirdLife International. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 1 Agosti 2013. Iliwekwa mnamo 18 Septemba 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Nelson, John. "Cameroon: Baka Losing Out to Lobéké and Boumba National Parks". World Rainforest Movement. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2 Desemba 2010. Iliwekwa mnamo 18 Septemba 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Lobéké kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.