Hifadhi ya Taifa ya Mikoko

hifadhi ya asili ya jamhuri ya kidemokrasia ya kongo

Hifadhi ya Taifa ya Mikoko (Kifaransa: Parc Marine des Mangroves au Muanda Marine Reserve) ni eneo lililohifadhiwa na ardhioevu ya Ramsar katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo .

Inajulikana sana kwa misitu yake ya mikoko . Inatoa ulinzi kwa idadi ya manatee walio katika hatari ya kutoweka walio kwenye lango la Mto Kongo . Mikoko ya kwenye hifadhi hii ni tofauti na ile inayopatikana Kusini mwa Asia .

Inatengeneza aina tofauti ya misitu ya mikoko, ambayo ni ya kawaida katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.  Hifadhi hii ilianzishwa mwaka 1992. [1]

Jiografia hariri

Ina eneo la kilomita za mraba 768 kwa ukubwa, mbuga hii ndio eneo dogo lililohifadhiwa nchini DR Congo. [2]

Mimea na wanyama hariri

Mbali na manatee, eneo hilo lina viboko, mamba, nyoka, [2] na aina ya Southern reedbuck. [3]

Marejeo hariri

  1. Rorison, Sean (2008). Bradt Congo: Democratic Republic - Republic. Bradt Travel Guides. pp. 120–121. ISBN 978-1-84162-233-0. 
  2. 2.0 2.1 Rorison, Sean (2008). Bradt Congo: Democratic Republic - Republic. Bradt Travel Guides. pp. 120–121. ISBN 978-1-84162-233-0. Rorison, Sean (2008).
  3. East, Rod (1990). Antelopes: West and Central Africa. 1990. International Union for Conservation of Nature. pp. 131, 135–. ISBN 978-2-8317-0016-8. Retrieved 18 May 2013. 
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Mikoko kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.