Hifadhi ya Taifa ya Mupa

Hifadhi ya Taifa ya Mupa ni mbuga ya taifa katika jimbo la Cunene nchini Angola na ina eneo la kilomita za mraba 6600. [1] Ilitangazwa kuwa hifadhi ya taifa mnamo 26 Desemba 1964 wakati Angola ilikuwa ni koloni la Wareno

Takribani watu 18,000 wanaishi katika mbuga hiyo na wanajishughulisha zaidi na kilimo na ufugaji wa ng'ombe. [2]


Viungo vya nje

hariri

Marejeo

hariri
  1. "Mupa National Park". VerAngola (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-01-01.
  2. "Mupa National Park". VerAngola (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-01-04.
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Mupa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.