Hifadhi ya Taifa ya Odzala-Kokoua

Hifadhi ya Taifa ya Odzala-Kokoua (au Hifadhi ya Taifa ya Odzala ) ni mbuga ya taifa katika Jamhuri ya Kongo . [1] [2]

Hifadhi hiyo ililindwa kwa mara ya kwanza mnamo 1935, ikatangazwa kuwa hifadhi ya viumbe hai mnamo 1977, na ikapewa jina rasmi kwa amri ya rais mnamo 2001.


Marejeo hariri

  1. "Poachers are the prey in a park in the Republic of Congo", CNN, 6 January 2014. 
  2. "Sangha Trinational & Odzala National Park". United States Fish and Wildlife Service. September 2014. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-05-10. Iliwekwa mnamo 20 December 2017.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Odzala-Kokoua kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.