Hifadhi ya Taifa ya Ogooué-Leketi

Hifadhi ya Taifa ya Ogooué-Leketi ni mbuga ya taifa katika Jamhuri ya Kongo, iliyoanzishwa mnamo 9 Novemba 2018. [1]

Hifadhi hii ina eneo la kilomita za mraba 3,500 kwenye mpaka na Mbuga ya taifa ya Batéké Plateau ya Gabon .


Marejeo

hariri
  1. "Republic of Congo names new national park, home to gorillas, elephants", Mongabay Environmental News, 2018-11-14. (en-US) 
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Ogooué-Leketi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.