Hifadhi ya Taifa ya Rusizi

Hifadhi ya Taifa ya Rusizi, ni mbuga ya taifa nchini Burundi, karibu na Mto Rusizi . [1] Ipo kilomita 15 kaskazini mwa jiji la Bujumbura na ni makazi ya wanyama kama viboko na sitatunga . [2]

Picha ya Viboko katika Hifadhi ya Taifa ya Rusizi
Picha ya Viboko katika Hifadhi ya Taifa ya Rusizi

Marejeo

hariri
  1. World Database of Protected Areas (2021). "Réserve naturelle du Rusizi". Protected Planet.
  2. Pitcher, Gemma; David Andrew; Kate Armstrong; James Bainbridge (2007). Africa. Lonely Planet. ku. 616. ISBN 1-74104-482-0.
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Rusizi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.