Hifadhi ya Taifa ya Visiwa vya Suakin

Visiwa vya Suakin ni kundi kubwa la visiwa vinavyopatikana Sudan katika Bahari ya Shamu, ambayo ilipendekezwa na jamii IUCN II kuwa mbuga ya taifa . Hifadhi hiyo ina eneo la takribani kilomita za mraba 1,500. [1]


Marejeo

hariri
  1. "Suakin Archipelago National Park". ProtectedPlanet (World Database on Protected Areas). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2022-06-15.
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Visiwa vya Suakin kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.